Karibu Sana!

Karibu sana katika ukurasa wetu na ujiongezee Maarifa bila Kikomo!

Ukiwa Mwalimu au unapendelea kufahamu zaidi kuhusiana na Walimu na Ualimu, basi Usisite kutembelea ukurasa huu mara kwa mara kwani yapo mambo muhimu ya kujifunza.

Aidha kama ukiwa na Maswali au dukuduku lolote tafadhali usisite kutuandikia kupitia anuani zetu hapo juu.

Mingoni mwa mambo yanayo jadiliwa kwa undani na ufasaha ni pamoja na namna bora ya;

  • Kuandaa Maazimio ya Kazi na Maandalio ya Somo;
  • Namna ya Kufuata Hatua za somo katika ufundishaji;
  • Njia na Mbinu za kufundishia;
  • Ufaraguzi na Matumizi bora kwa Vifaa vya kufundishia na Kujifunzia;
  • Namna ya kujieleza darasani na, Matumizi ya ubao;
  • Utoaji wa Kazi Darasani kwa wanafunzi;
  • Kudhibiti Nidhamu ya Darasa;
  • Sheria na Taratibu zinazowahusu Walimu; na
  • Matumizi ya TEHAMA na Vifaa vyake na;
  • Mengine meengi yahusuyo Walimu na Ualimu

Usikose safu hii kwa “Maarifa bila Kikomo”.

Ingia Sasa | Karibu Sana