Jamani tuwapende na kuwathamini kama tunavyojithamini sisi.

Ni Mfano wa kuingwa toka kwa Bwana Boniventura Godfrey wa HakiElimu
Ni Mfano wa kuingwa toka kwa Bwana Boniventura Godfrey wa HakiElimu

Nimejifunza mengi sana kucheza na hawa watoto siku ya leo.Wana vipaji vya michezo ambavyo vikiendelezwa kwa kuwapa elimu, tunaweza kupata profesionals wengi katika michezo.Mchezo wa bao unahitaji akili sana.Tulitenga mechi tatu na huyu dada mwisho wa siku nikaangukia pua.Jamani tuwapende na kuwathamini kama tunavyojithamini sisi.

Baadae tukahamia kwenye DAMA hata hapa sikufua dafu maana watoto wakawa wananesa utadhani wana spring za booster.Hapa tena game zote tatu nikalala 2-1.Tuwapende na kuwathamini kama tunavyojithamini sisi.

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.