Malezi Elimu ya Awali

SEHEMU A 

  1. Eleza maana ya Elimu ya Awali.
  2. Taja malengo matano (5) ya kufundisha na kujifunza malezi ya Elimu ya Awali kwa mwalimu Daraja ‘A’.
  3. Eleza umuhimu wa Elimu ya Awali.
  4. Nini mtazamo wa Elimu ya Awali kwa jamii ya Kitanzania?
  5. Kwa nini ongezeko la shule za awali ni kubwa mno maeneo ya mijini kuliko vijijini ambako kuna ongezeko la watu wengi?
  6. Taja wanafalsafa watano waliokuwa na mitazamo inayohusu Elimu ya Awali.
  7. Nini maana ya Mtaala wa Elimu ya Awali?
  8. Ni mambo yepi huunda Mtaala wa Elimu ya Awali?
  9. Eleza dhana ya zana za kujifunzia na kufundishia.

SEHEMU B 

10. Haki za mtoto zimegawanyika katika vipengele vitano vya msingi. Taja na kueleza haki 3 za msingi.

11. Eleza matatizo yanayoweza kujitokeza katika utekelezaji wa mtaala wa Elimu ya Awali.


SEHEMU C 

12. Eleza mambo ya kuzingatia katika utunzaji bora wa mtoto.

13. Nini wajibu wa Mwalimu katika kulinda haki za mtoto?

14. Taja mambo manne yanayosababisha kuwepo kwa mawasiliano katika utoaji wa Elimu ya Awali.

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

One thought on “Malezi Elimu ya Awali

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.