JIPIME | Maswali Elimu ya Awali – II

SEHEMU A 

  1. Eleza kwa kifupi maana ya Elimu ya Awali.
  2. Taja mambo muhimu manne ayapatayo mtoto wa Elimu ya Awali anapojifunza kwa vitendo.
  3. Taja vigezo utakavyotumia kuchagua mbinu za kufundishia Elimu ya Awali.
  4. Unaelewa nini kuhusu muhtasari wa vitendo vya masomo?
  5. Taja misingi minne (4) ya ufundishaji na ujifunzaji katika Elimu ya Awali.
  6. Unaelewa nini kuhusu kitabu cha kiongozi cha mwalimu?
  7. Katika shule ya Msingi mwalimu anakazia sana ukimya, lakini katika darasa la Elimu ya Awali mwalimu anaambiwa asihangaishwe sana na mazungumzo ya watoto wakati wanapojifunza, kwa nini?
  8. Taja aina nne (4) za kufundisha katika darasa la Elimu ya Awali.
  9. Eleza kwa kifupi jinsi utakavyomsaidia mtoto asiyesikia vizuri darasani kwako.

SEHEMU B 

10. Mbinu za kufundishia Elimu ya Awali zina sifa za kipekee. Thibitisha.

11. Jadili ni kwa namna gani Mwalimu anaweza kumfanya mtoto wa Elimu ya Awali kuwa tayari kujifunza.


SEHEMU C 

12. Fafanua kwa mifano maana ya usemi ‘Kuliongoza darasa ni kulielekeza darasa’.

13. Katika kuliweka darasa katika hali ya kumfanya mtoto kujifunza kwa ufanisi mkubwa mwalimu sharti azingatie mambo kadhaa. Taja matano (5) tu kati ya hayo.

14. Taja mambo manne (4) ya msingi ambayo mwalimu wa somo anapaswa kuzingatia wakati wa kuandaa somo lake.

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.