…TTN kuwaunganisha walimu Tanzania, Mei Mosi saa Tatu Kamili Usiku

523865_503303399683879_1646575402_n
TANZANIA TEACHERS NETWORK is a registered professional organization established by Teachers for Teachers of Tanzania.
TTN’s Vision is to strengthen teaching professionalism,dignity and effectiveness for the betterment of education in Tanzania.

Tanzania Teachers Network(TTN) inaandaa vipindi vya Redio na TV ili kuwafikia Walimu kwa haraka zaidi ili kufanikisha azimio la umoja huu kuishughulikia CWT na kumkomboa Mwalimu…wakati mipango hiyo inaendelea siku ya Mei Mosi saa Tatu Kamili Usiku TTN itakuwa na kipindi cha kwanza katika Tv ya Barmedas JIjini Mwanza ili kuzungumza na wananchi live…baada ya hapo TTN itatumia Tv zote za kitaifa na kimataifa ili kuwaunganisha walimu Tanzania nzima nakuchukua hatua kali za kisheria dhidi ya CWT…. Toa maoni yako kuboresha mpango huu!! “Teach With Dignity

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.