Mbinu za Kufundishia Hisabati – II

SEHEMU A 

  1. Utamshawishi vipi mwanafunzi wa darasa la II (pili) kuwa 3 + 6 = 9
  2. Ni mambo yapi yanayosababisha Mbinu ya kufundishia kuwa nzuri au mbaya?
  3. Taja zana tano zinazotumika kufundishia mada ya Elimu ya Maumbo kwa shule za Msingi.
  4. Tumia mstari wa namba kuelezea hatua utakazopitia kufundisha (-8 – (-5)) = -3.
  5. Utamfundishaje mwanafunzi wa darasa la sita kubadili desimali kuwa asilimia? Tumia 0.135 kama mfano.
  6. Ni kwa nini Mbinu ya Michezo ya Kihesabu inafaa sana kufundishua darasa la kwanza na la pili?
  7. Utamthibitishiaje mwanafunzi wa shule ya msingi kuwa;

v

8. Tumia maelezo mafupi kuonesha jinsi utakavyomfundisha Mwanafunzi wako kugawa 18 kwa 3 kwa kugawana. Tumia vielelezo.

9. Eleza utakavyofundisha darasa la nne kupata KDS cha 3 na 5.


SEHEMU B 

10. Wanafunzi wengi wanashindwa kutofautisha kati ya duara na mche duara. Eleza ukitumia vielelezo/vifaa vinavyofaa kufundishia jinsi utakavyotatua tatzo hilo kwa wanafunzi wa darasa la sita.

11. Kwa kutumia vielelezo, onesha utakavyofundisha wanafunzi wa darasa la sita (VI) kuwa;

d


SEHEMU C

12. Utamthibitishiaje mwanafunzi wa darasa la tano kuwa  ? Tumia vielelezo.

13. Onesha utakavyowafundisha wanafunzi wa darasa la sita kupata pai (Π).

14. Unatakiwa kuwafundisha wanafunzi wa darasa la saba jinsi ya kuchora pembetatu sawa kwa kutumia bikari na rula tu.
Onesha hatua kwa hatua jinsi utakavyowaonesha wanafunzi hao namna ya kuchora umbo hilo.

15. Andaa somo la Hisabati darasa la Nne (IV) ukifundisha kuhusu pembe.

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

4 thoughts on “Mbinu za Kufundishia Hisabati – II

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.