Upimaji na Tathmini – I

SEHEMU A 

1. Vichachawizi ni nini?

2. Tathmini tamati ina umuhimu gani?

3. Orodhesha aina ya maswali yaliyo katika kundi la insha (yasipungue manne).

4. Bainisha manufaa manne (4) ya maswali ya kuoanisha.

5. Mzazi atamwezesha mtoto wake kuwa na maendeleo mazuri kitaaluma? (fafanua mambo manne tu).

6. Nini maana ya utafikti wa kielimu?

7. Taja aina mbili (2) za utafiti wa kielimu.

8. Eleza umuhimu wa kupitia maandiko katika kufanya utafiti.

9. Taja sifa kuu mbili (2) za kutambua suala la utafiti (research problem).


SEHEMU B 

10. Kama msimamizi wa mtihani ni mbinu zipi utakazotumia kudhibiti vitendo vya udanganyifu vinavyofanywa na watahiniwa wakati wa kufanya mtihani?

11. Jedwali la kutahini lina umuhimu gani? Hujumuisha vitu gani?

12. Sampuli ya utafiti hupatikana kwa njia kuu 2. Eleza kifupi jinsi ya kutafuta sampuli hizo.

13. Eleza kwa kifupi ni kwa nini muswada wa utafiti unaandikwa?


SEHEMU C 

14. Pendekeza mambo ambayo yatasababisha maboresho katika mchakato mzima wa upimaji katika nchi yetu.

15. Tunga maswali mawili (2) mawili ili kupima stadi za uundaji, uchambuzi na ufahamu. Tambulisha somo na darasa ambamo maswali hayo yaweza kutumika.

16. Eleza jinsi mtafiti anavyofanya maandalizi yake kwenda sehemu ambayo anataka kufanya utafiti.

17. Nini manufaa ya kufanya utafiti? Toa sababu tano (5) muhimu za kufanya utafiti.

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.