Upimaji na Tathmini – II

SEHEMU A 

1. Eleza maana ya dhana zifuatazo;

a. Upimaji
b. Upimaji wa kielimu

2. Taja zana za kufanyia utafiti.

3. Kigezo muhimu cha kupima mafanikio ya mtaala wa kielimu ni………………….

4. Eleza jinsi mwalimu anavyoweza kupimwa kutokana na matokeo ya upimaji wa kielimu.

5. Orodhesha wadau watano mashuhuri katika kutumia matokeo ya upimaji wa kielimu.

6. Bainisha vepengele vinne (4) vya kupima Elimu.

7. Taja stadi za kimaadili ambazo mwalimu huzijumuisha katika upimaji wa kielimu.

8. (a) Nini maana ya zana za upimaji wa kielimu? (b) Toa mifano mitatu ya aina ya zana za upimaji wa kielimu.

9. Eleza kwa kifupi maana ya utafiti wa kimsingi na utafiti wa matumizi.


SEHEMU B 

10. Eleza jinsi wadau wafuatao; walimu, wanafunzi, wazazi na waajiri wanavyoweza kuyatumia matokeo ya upimaji wa kielimu. (eleza manufaa matatu(3) kwa kila mdau).

11. Vitaje vipengele vya utafiti na kila kipengele kinahusu jambo gani?


SEHEMU C 

12. Orodhesha madhumuni yasiyopungua matano (5) ya upimaji wa kielimu.

 

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

17 thoughts on “Upimaji na Tathmini – II

  1. zana za upimaji ni taratibu zitumikazo kujua maendeleo ya mwanafunzi kitaaluma katika ngazi fulani ya elimu aliyo nayo.zana hizo za upikaji ni kama ; mazoezi,majaribio,mitihani,kazimradi(project) nk

   Like

   1. Nimeielewa vizuri hiyo maana ya zana za upimaji.

    Naomba nijue pia vigezo vitumikavyo katika upimaji

    Like

  2. zana za upimaji ni taratibu zitumikazo kujua maendeleo ya mwanafunzi kitaaluma katika ngazi fulani ya elimu aliyo nayo.zana hizo za upimaji ni kama ; mazoezi,majaribio,mitihani,kazimradi(project) nk

   Like

 1. Jaman sisi tunashukuru sana kwani unatukumbusha mambo mengi mno ya kielim. Naomba tusaidie vigezo sahihi vya upimaji na tathmini mwl.

  Like

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.