Uraia – II

SEHEMU A 

1. Taja sababu mbili zinazosababisha uharibifu wa mazingira.

2. Zipo aina kuu mbili za uharibifu wa mazingira. Zitaje.

3. Taja vitu vitatu ambavyo vikishirikiana hukamilisha mzunguko wa dhana ya mazingira.

4. Taja kazi tatu (3) za mahakama kuu ya Zanzibar.

5. Orodhesha malengo manne (4) ya kufundisha somo la Uraia kwa mwalimu Tarajali.

6. Taja faida nne (4) za vyama vya siasa katika nchi ya kidemokrasia kama Tanzania.

7. Andika ubeti wote wa tatu wa wimbo wa uzalendo wa Tanzania.

8. Tofautisha kati ya wajibu na haki.

9. Nyumbulisha N.I.E.O kama itumikavyo katika elimu ya siasa-uchumi.


SEHEMU B 

10. Eleza madhara ya uharibifu wa mazingira hewani (angani).

11. Jadili dhana hii ‘uharibifu wa mazingira sasa basi’.

12. Jenga hoja tano, zinazodhihirisha kuwa Tanzania ni nchi ya Kidemokrasia.

13. Jadili kazi za mashirika ya wakimbizi katika nchi wakimbizi walipo.


SEHEMU C 

14. Kuyumba kwa uchumi wa Marekani kumesababisha uchumi wa Dunia pia kuyumba. Pendekeza mambo manne ambayo serikali yako inapaswa kutilia tahadhari ili uchumi wake usiathirike.

15. Ni namna gani hali ya hewa duniani itunzwe ama iboreshwe kabisa kwa mabadiliko haya yanayojitokeza?

16. ‘Serikali ya Tanzania si maskini ila wananchi wake ndio maskini’… jadili usemi huu.

 

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

3 thoughts on “Uraia – II

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.