MITAALA YA ELIMU KUREKEBISHWA

MitaalaKutoka Hakielimu

Rais wetu Mh Jakaya Kikwete mapema wiki hii alizungumza na wenyeviti na wamiliki wa shule na vyuo vya binafsi akaahidi kwamba:

“Mitalaa na mihutasari ya elimu itarekebishwa ili kuzingatia mazingira ya sasa ya dunia na ni lazima tuwe na viwango vya elimu vya kimataifa.”

Huo ni uamuzi muhimu na makini sana ambao HakiElimu inauunga mkono. Istoshe, utekelezaji wa nia hiyo ufanyike mapema-ili kuokoa elimu Tanzania.

Kwa bahati mbaya sana-hoja hii iliwasilishwa na Mh Mbatia bungeni, mapema mwaka huu-na iliwekwa pembeni kwa misingi kwamba tayari kuna sera mpya ya elimu iko jikoni, ambayo inaweza kuweka sawa suala hili. Hoja ikakosa waungaji mkono na ikatupwa hivi-hivi.

Tunampongeza mheshimiwa Rais kwa kuona umuhimu wa kuinusuru elimu yetu-hasa kwa kuboresha mitaala. Tunaamini marekebisho mengine muhimu yatafuata.

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.