Unapoamua kusema ukweli…..

Sema ukweli hata kama unauma“Uwoga ni kitu ambacho binadamu tumeumbiwa, wakati mwingine unasaidia wakati mwingine unakudhiru uwoga wako, kwa sababu wanasema adui wa maendeleo yako mwenyewe ni wewe mwenyewe, ndiyo maana uwoga wako unaweza ukasabisha ukakandamizwa zaidi, ndiyo maana wazee wetu waliweza kusimama na kuikomboa hii nchi kwa sababu walisimama hawakuogopa.

Wangeogopa hii leo hii nchi tusingekuwa huru, kwa hiyo kama kuna mtu ana jambo na anaogopa kusema, hilo ni jambo la kawaida kuogopa, lakini wakati wa kusema ukifika usiogope kusema ili mradi useme ukweli, basi inatosha”.

“Unajua kwa mfano unaweza kumuomba mtu maji akakwambia sina, ukayaona yale  pale ukamwambia niuzie akakuuzia ila bado alivyokuuzia  akaona kama unafaidi, mwisho  akakwambia yameisha nenda sehemu nyingine, ukaenda sehemu nyingine na ukayapata bure, akaona umepata akaamua kukufata kulekule na akakukuta unakunywa maji kwenye glasi kisha akakuputa, sasa hapo inabidi useme hapa unavyofanya sio sawa……….” Gadna G Habash
 

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

One thought on “Unapoamua kusema ukweli…..

  1. Uwoga ni adui wa maendeleo ya mtu mwenyewe. Hata kama ni Baba yako, Mama yako, Mjomba wako, Dada yako, Mkubwa wako kazini ama vinginevyo, usichoke kumwambia ukweli juu ya jambo fulani ambalo amekosea, anaweza asiseme au asikubali kwa wakti huo lakini akikutana na mtu aliye sikia unamwambia na tena mtu huyo ni Mungwana atamwambia kuwa “LAKINI YALE ULIYOAMBIWA NI UKWELI UKATAE USIKATAE”, Anaweza asisikie kwa wakati huo lakini muda utakapowadia FIMBO YA UKWELI ITAMCHAPA.

    Like

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.