Kama Kweli Unampenda….

UKIMWI unaweza kubadilisha maisha yako moja kwa moja. Lakini hakuna haja ya kuwa na wasiwasi mkubwa wakati wote. Kupitia safu hii ya Ukurasa wetu wa VVU na UKIMWI utapata namna gani unaweza kuchukua hatua pale utakapo pima na kukutwa na maambukizi ya VVU.

Lakini hebu jiulize kwa nini upate maambukizi ya VVU? Tazama Video hii ina neno la kukueleza kwa dakika moja tu.

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.