Simba na Yanga: Nani Mshindi Leo?

Yanga
Yanga – Watoto wa Jangwani

Elimu nadharia, maarifa na vitendo anavyojifunza mwanafunzi darasani huweza kukamilika na kuimarishwa zaidi inapoambatana na Elimu ya Michezo na Sanaa mbalimbali.

Michezo huchangia sana kuleta furaha na tabia nzuri na kujenga moyo wa ushirikiano kwa wanafunzi.

Leo ni siku ya kukutana “watani wa jadi” Simba na Yanga. Watanzania wachache watakuwa wakishuhudia mechi hii kupitia Uwanja wa Taifa Dar es Salaam au kupitia luninga zao majumbani.

Simba
Simba – Watoto wa Msimbazi

Wale ambao hawatakuwa na vitu vya kuangalizia mpira huo hawataachwa nyuma bali kupitia redio zetu majumbali na simu zetu za mkononi tutaweza kusikiliza moja kwa moja matangazo hayo ya mpira kupitia redio mbalimbali ikiwemo redio ya Taifa TBC.

Timu ya Mtandao wa Jindae.com inawatakia mchezo mzuri timu zote mbili Simba na Yanga uwe wa amani ili kujenga furaha na amani kuidumisha na iwe chachu ya kuwavutia Wanafunzi wengi zaidi kupenda michezo na kutamani nao waje kuchezea timu hizi mbili Simba na Yanga siku za usoni.

Mwalimu Gunda

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

One thought on “Simba na Yanga: Nani Mshindi Leo?

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.