Yanga: Washerehekea Ushindi wa 24 dhidi ya Simba

Zile nderemo hoi hoi na vifijo hatimaye zimetimia kwa watoto wa Jangwani kwa kufanikiwa kuwabwaga watani wao wa Jadi timu ya Simba watoto wa Msimbazi kwa jumla ya mabao mawili kwa sifuri.

Yanga Bingwa

Ilikuwa ni mchezo wa kusisimua kwa kila timu ikijaribu kutafuta ushindi wa hapa na pale kitu ambacho watoto wa jangwani katika dakika ya tano walifanikiwa kujipatia bao la kuongoza.

Leo ndio mwisho wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kwa Yanga kuibuka na kitita cha shilingi milioni sabini pamoja na kikombe.

Michezo ni Furaha, Michezo ni Amani Hongereni “Watoto wa Jangwani”

Mwalimu Gunda

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.