Usiwe na Wasiwasi: Changia Damu Okoa Maisha Tanzania

Kabla ya Kuchangia Damu, Utapata USHAURI NASAHA kisha, Utapima shinikizo la Damu,  Utapima wingi wa Damu. utapimwa Uzito na Utafanya Majadiliano na Mtaalamu, kuhusu Afya ya yako. ndipo utachangia Damu.

Changia Damu okoa Maisha
Changia Damu okoa Maisha

Mahitaji ya damu yanazidi upatikanaji wake na hii inasababisha na uelewa mdogo juu ya umuhimu wa kuchanga damu pamoja na hofu. Mara nyingi watu wanataka kuchangia pale tu ambapo ndugu zao wamepata shida. Hali hii lazima ibadilike ili kuwezesha benki yetu ya damu kuwa na damu kila wakati. Usiwe na hofu. Kutoa damu ni salama na hakuna maumivu.

Kutoa Damu ni Salama na Hakuna Maumivu
Kutoa Damu ni Salama na Hakuna Maumivu

Kwa wakazi wa Dar mnakaribishwa katika kituo cha kanda ya mashariki Ilala mchikichini mtaa wa max mbwana, pia unaweza kwenda kituo kidogo cha mnazi mmoja karibu na kituo cha afya mnazi mmoja kwa maelezo zaidi piga 0712612000 au 0715 339 282 au tembelea ukurasa wetu wa facebook: https://www.facebook.com/ChangiaDamuTz na Tovuti yetu: http://www.nbts.go.tz/

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.