MATATIZO YAPO NDUGU,UKIONDOKEA KUPENDA !

© Mateno Fri, Mar 14, 2008 at 10:44 PM

ushairiMatatizo ya MAPENZI ,Yapo tu Duniani,
Ukimpata Laaazizi ,Ni faraja Mtimani,
Mazuri kuyamaizi,kheri sana maishani,
MATATIZO YAPO NDUGU,UKIONDOKEA KUPENDA !

Masikio uyazibe, MAPENZI yakikushika,
Hata ukiwa na shibe,Utazidi kukondeka,
“Kichwa” uite uvimbe,Waja na watakucheka,
MATATIZO YAPO SANA,UKIONDOKEA KUPENDA !

MAPENZI yana Furaha,Mwanzoni yanapoanza,
Maliwazo ni ya raha,Mfano nyama ya chaza,
Utadhani unataha,Hadharani taweza cheza,
MATATIZO YAPO SANA,UKIONDOKEA KUPENDA !

MAPENZI kibadilika,Ni jeraha liso pona,
MOYO ulotakasika,Utaanza kusonona,
Badala kunawilika,Utanza kukondeana,
MATATIZO YAPO SANA,UKIONDOKEA KUPENDA !

Kupenda hili lione,Namini utakubali,
Vyema nyote mpendane, MAPENZI kuyakabili,
Maovu sidhaniane,Mtasema afadhali,
MATATIZO YA MAPENZI ,UVUMILIVU NI DAWA, “PENDANENI SAANA”

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.