Wakwamke Oyeeeeee!

harusi iyoooo

Waja waseme nini, kibwebwe chako kumoyo,

Takuokoa kitanzini, nikifata zako nyayo,

Tukimbie umbeani, haswa tugange yajayo,

Wakwamke Oyeeeeee, Furaha yaja zizini.

Tutaruka kwa nderemo, hoihoi na vifijo,

Siku hiyo no mihemo, ubwabwa wali kwafujo,

Blaza we usife Moyo, Kabanga watu khorojo,

Wakwamke Oyeeeeee,Furaha yaja zizini.

 

Hivi Mwanza njia Moja? naota ka nazungukwa!

Nisije kuwa wakuja, huzuni ijenifika,

Kwa mbali yes siku zaja, jibu bado kulipata,

Wakwamke Oyeeeeee, Furaha yaja zizini.

hAPPY nEW neW kUOAnAGA!

Mwalimu Gunda | Sat,   Mar 8, 2008 at 10:44 PM

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.