Kutumia Lugha ya Kiswahili Kufundishia

Ufundishaji Bainifu
Ufundishaji Bainifu

Pamekuwepo na majadiliano mengi namna kiswahili kitavyoweza kutumika kama lugha ya kufundishia kwa ngazi zote za elimu bila mafanikio wengi wakidai Kiswahili hakijitoshelezi na wengine wakidai mambo yatakuwa magumu. Je tunaelekea wapi na nchi yetu?

Tukirudi katika historia utaona mnamo mwaka 1914 Wajerumani baada ya kuingia Afrika mashariki mwaka 1884 walisisitiza matumizi ya Kiswahili katika utoaji wa elimu, kutokana na uamuzi wao wa kuitumia lugha hii katika shughuli za kiutawala katika koloni lao la Afrika Mashariki.

Je sisi tumeshindwa wapi na tunaelekea wapi?

 

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

2 thoughts on “Kutumia Lugha ya Kiswahili Kufundishia

  1. Kiswahili kinajitosheleza kutumika kama lugha ya kufundishia katika ngazi zote kabisa watanzania tuondoe wasiwasi lugha yetu nzuri mno.

    Like

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.