Mbinu za Kufundishia Hisabati 2014

Hizi ni baadhi ya Mbinu za Kufundishia Somo la Hisabati na Hesabu. Ukiwa kama Mwalimu ni vyema kuangalia Mbinu ambayo itakua inakidhi vigezo vya mchakato wa kujifunza kulingana na Darasa unalofundisha, mazingira, uelewa wa wanafunzi wako na umri wao.

NAMBA

MBINU ZA KUFUNDISHIA

DARASA

1 Kualika Mgeni

V, VI na VII

2 Nyimbo

I, II na III

3 Majadiliano katika Vikundi

IV, V, VI na VII

4 Michezo ya Kihesabu

I, II na III

5 Mifano halisi Ubaoni

I hadi VII

6 Maigizo

IV, V, VI na VII

7 Bungua Bongo

I hadi VII

8 Chemsha Bongo

I hadi VII

9 Michoro na Picha

I hadi VII

10 Ziara

I hadi VII

11 Maswali na Majibu

I hadi VII

12 Utafiti

VI na VII

13 Kadi za Namba

I na II

14 Majaribio

III hadi VII

15 Katuni ya Dhana

V na VII

16 Mhadhara

V hadi VII

17 Hadithi

I hadi VII

18 Kazi Mradi

V hadi VII

19 Gurudumu la Matukio

V hadi VII

20 Maonesho

I hadi VII

21 Udadisi

I hadi VII

22 Mdahalo

V hadi VII

23 Uvumbuzi

VI hadi VII

24 Ingia Ujifunze

III hadi VII

25 Changanya kete

IV hadi VII

26 Ngonjera

III hadi VII

27 Rejea Hai

III hadi VII

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

2 thoughts on “Mbinu za Kufundishia Hisabati 2014

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.