Tunawatakia Heri na Fanaka ya Mwaka Mpya 2014 kwa Maarifa bila Kikomo!

Kwa niaba ya timu nzima ya JIANDAE.COM wazee wa “Maarifa bila Kikomo” tunapenda kuwatakia kheri na fanaka ya mwaka mpya 2014.

Nimatumaini yetu huduma zetu kwa kiasi fulani zimewasaidia na kuwapa angalau ujuzi wa namna gani utaweza kukabiliana na masomo yako kwa mihula yote iliyopita na kujipanga vizuri zaidi kwa muhula ujao.

Nachukua fursa hii kuwapongeza na kuwashukuru wote mliofanikiwa kutembelea na kuweka “comments” zenu kwa kile kilichokufurahisha na pale ulipohitaji msaada zaidi.

Mwalimu Gunda | Happy New Year to YOU ALL!
Mwalimu Gunda | Happy New Year to YOU ALL!

Kwa mwezi wa Desemba tulijaribu kuchukua baadhi ya namba za watu na tukawa tunawatumia ujumbe kila tunapoweka nukuu au maswali mapya. Kwa kipindi cha kuanzia Januari 2014 huduma hiyo itaboreshwa zaidi na kama una rafiki yako au wewe mwenyewe hujatupatia namba yako tafadhali tutumie namba yako ukitaja jina na chuo ulichopo kwa sms kwenda 0787836563.

Kuanzia januari hii tutaendelea na Maswali na Majibu kama wengi walivyoomba. Ili kuwa na uhakika na kuwa karibu zaidi nasi tafadhali angalia sehemu iliyoandikwa FOLLOW BLOG VIA EMAIL chini ya kalenda, weka email yako then bofya FOLLOW hapo utakua na uhakika wa kupata nukuu zote tutakazoweka moja kwa moja kwenye email yako.

Tutajitahidi kuingia kwenye masomo mengine zaidi ikiwa ni pamoja na maandalizi ya BTP na vile vile mwaka 2014 kutakua na mashindano hivyo jiandae kushiriki na kushinda.

Ukumbuke kuwapatia na wenzio website hii.

Happy New Year 2014

Mwalimu Gunda

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

2 thoughts on “Tunawatakia Heri na Fanaka ya Mwaka Mpya 2014 kwa Maarifa bila Kikomo!

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.