Ushauri na Unasihi

308577_10201144942332246_1431798451_n

Eleza kwa kifupi tofauti kati ya Unasihi na Ushauri? (NECTA 2008)

Ushauri huwa na lengo la kuzuia tatizo lisitokee, hivyo mara nyingi ushauri hutolewa kabla ya tatizo kutokea. Wakati wa ushauri, mteja (mshauriwa) huwa ni mpokeaji tu wa ushauri toka kwa mtoa ushauri. Mshauri anaweza kuwa ni mtu yeyote. Hivyo kwa ujumla, Ushauri hutolewa kwa mtu yeyote.

Nasaha hutolewa baada ya tatizo kuwa limetokea. Mara nyingi nasaha hutolewa kwa lengo la kutibu au kupunguza uwezekano wa tatizo lililopo kutokea tena au kumfanya mwenye tatizo akubaliane na hali halisi kuwa analo tatizo na kuangalia namna ya kukubaliana na kukabiliana nalo. Wakati wa Unasihi, mtoa nasaha (Mnasihi) na mteja (mnasiwa) hubadilishana mawazo na si mpokeaji tu wa kile kinachopendekezwa na mnasihi. Unasihi hutokana na kujifunza na kuwa mtaalamu wa kutoa nasaha.Hivyo, unasihi hutolewa kwa mtu mwenye tatizo tu.

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

6 thoughts on “Ushauri na Unasihi

  1. Naomba kuuliza kunavitu vinanichanganya.! Kunatofauti gani unaposema njia ya mteja kama kiini cha tatizo na njia ya mteja kama kiini cha nasaha? Na tofauti kati ya mtoa nasaha kama kiini cha tatizo na mtoa nasaha kama kiini cha ushauri nasaha?

    Like

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.