Maswali na Majibu | Ualimu sera ya Elimu ya Mafunzo

Image

Kwa mujibu wa sera ya elimu na mafunzo ya 1995, fafanua sifa (3) za kujiunga na mafunzo ya ualimu nchini.

  • Awe amemaliza kidato cha nne na kufaulu si chini ya divisheni ya tatu;
  • Awe ameomba mwenyewe kujiunga na ualimu;
  • Awe ni kijana mwenye mwenendo na tabia nzuri;
  • Awe mtu anayeweza kujituma kwa kuwa anatarajiwa kukabidhiwa vijana na kuwasimamia.

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.