UTATA WA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2013 WAIBUKA.

???????????????????????????????

Baada ya matokeo ya kidato cha IV mwaka 2013 kutangazwa mwishoni mwa wiki iliyopita , Kumeibuka maswali yanayohitaji majibu ya kina kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi . Wananchi wangependa kufahamu utaratibu uliotumika kupanga madaraja kwani kumeibuka mkanganyiko mkubwa usio na majibu mfano kuna wanafunzi wenye alama 42 wamepewa Division Zero huku wenzao wenye alama 46 wakipewa Division Four. Pia vyombo vya habari vimenukuu Shule ya Mtakatifu Francis kuwa kinara katika mitihani huo ikiwa na

  • Division 1 = 81;
  • Division 2 = 8 ,
  • Division 3 =1 ,
  • Divison 4= HAKUNA na
  • Division 0= HAKUNA

ingawa Shule ya Wavulana ya Marian ina

  • Division 1= 100,
  • Division 2= 10,
  • Division 3= HAKUNA,
  • Division 4= HAKUNA na
  • Division 0= HAKUNA .

Pengine kuna mambo mengine ambayo yanaleta mkanganyiko baada ya kupokea matokeo hayo, tutafakari na kuhoji ili kupata ufafanuzi.

source: HAKIELIMU

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

One thought on “UTATA WA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2013 WAIBUKA.

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.