Swali na Jibu | Aina za Kunasihi (NECTA 2005)

Taja aina kuu mbili (2) za kunasihi. (NECTA 2005)

1)      Unasihi wa Jadi

Huu ni utaratibu wa kuwashauri watu wenye matatizo uliotumiwa na kila jamii tangu zamani ambao haukua unazingatia taaluma.

2)      Unasihi wa Kisasa

Hii ni taaluma ya kusomea ambayo mtu hujifunza misingi, mbinu na miiko katika utoji ushauri nasaha kwa watu wenye matatizo na vilevile hujifunza mazingira ambayo yaweza kupelekea kuvunja miiko hiyo ya unasihi.

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

4 thoughts on “Swali na Jibu | Aina za Kunasihi (NECTA 2005)

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.