Ushauri Nasaha Swali na Jibu (NECTA 2007)

Eleza mambo manne (4) ya kuzingatia wakati wa utoaji ushauri nasaha. (NECTA 2007)

  • Usilazimishe maoni yako kwa vyovyote vile.
  • Uwe mwaminifu; Ikiwa utashindwa kutatua tatizo lake, mpeleke kwa wataalamu wengine.
  • Uwe na stadi ya kurekebisha mawasiliano/lugha yako kufuatana na upeo na uelewa wa mteja uliyenaye.
  • Uwe na stadi ya kutafsiri maana ya ukimya wa mteja.
  • Hifadhi siri za mteja wako. Siri ni uti wa mgongo wa kazi ya unasihi.

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.