Sehemu ya Nane – Ujasiriamali | Jinsi ya Kutambua Wazo Zuri la Biashara

946149_449849251769236_87420318_n.jpg

Jinsi ya kutambua wazo zuri la biashara

Wazo zuri humwezesha mfanya biashara mtafutaji kufanikiwa. Hivyo basi, ni vizuri kufahamu jinsi ya kupima mafanikio. Mafanikio ya biashara hupimwa kwa kutumia vigezo vifuatavyo:

  • Faida ipatikanayo
  • Kutokwama kwa biashara.
  • Kupanuka na kukua kwa biashara.
  • Kumnufaisha mteja.

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.