Sehemu ya Sita – Ujasiriamali | Namna ya Kupata Wazo la Biashara

ujasiriamali

Namna ya kupata wazo la biashara

Mawazo mengi ya kuanzisha biashara yoyote huanzia au hutokana na mambo yafuatayo:

  • Uzoefu kutoka katika familia.
  • Kuhamasika kutokana na kutembelea maonyesho ya biashara wilayani, mikoani, na hata kimataifa.
  • Kufanya ziara sehemu nyingine za nchi za nje na kuona watu wengine wanavyofanya.
  • Kuona kwenye luninga na kusoma katika magazeti pamoja na majarida yanayoeleza mambo ya biashara.
  • Kujiunga na vikundi, jumuiya na hata vilabu mbalimbali vya biashara.
  • Upenzi wa vitu mbalimbali.
  • Matukio kama vile gharika au majanga.
  • Hali ya uchumi inaweza kumfanya mtu aingie kwenye biashara ili aweze kupata faida ya kumudu maisha.

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

One thought on “Sehemu ya Sita – Ujasiriamali | Namna ya Kupata Wazo la Biashara

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.