Sehemu ya Tatu – Ujasiriamali |Kanuni za Mjasiriamali

DSC05062

Kanuni za mfanya biashara Mtafutaji – Mjasiriamali 

  • Huangalia ukweli wa mambo kwa kujifunza kadri iwezekanavyo kuhusu biashara yake.
  • Huangalia na hufahamu sehemu imara za biashara yake na kuzifanya endelevu.
  • Hutambua sehemu zilizo dhaifu na kuchukua hatua ya kuziimarisha.
  • Hufahamu bidhaa zinazohitajika kwa wateja wake ili ziwepo kila wakati
  • Hujua hali yake ya fedha kwa kuweka vitabu sahihi vya kumbukumbu zote

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.