Sehemu ya Tisa – Ujasiriamali | Matatizo yanayoathiri Wazo la Biashara

390622_660541943960227_1444599778_n

Matatizo yanayoathiri wazo la biashara

Kutowiana na wazo la biashara ambako kunasababishwa na:

 • Kukosa imani ya kutosha kuhusiana na wazo hilo.
 • Matatizo ya kupata leseni/kibali kinachohitajika.
 • Kukosa ujuzi wa kutosha wa usimamizi na uongozi.
 • Kukosa ujuzi wa kutosha wa kiufundi/kitaaluma.
 • Kukosa uvumilifu wa kutosha kwa kusoma azma.

Matatizo ya masoko au uuzaji hafifu ambao unaweza kusababishwa na:

 • Uchache wa wateja
 • Wingi wa washindani
 • Ufanisi na uwezo wa zaidi wa washindani
 • Bei ya bidhaa / huduma ni ghali mno
 • Bidhaa kukosa ubora unaotakiwa
 • Ukosefu wa mwelekeo wa biashara ulio wazi
 • Kutovumisha biashara vya kutosha.
 • Eneo la biashara halipo wazi
 • Ukosefu wa njia mbalimbali za kuuza bidhaa hiyo.

Matatizo ya Uongozi

 • Uchache wa wafanyakazi wenye ujuzi na motisha ya kutosha.
 • Bei za mali ghafi kuwa juu.
 • Kushindwa kuzalisha bidhaa zenye ubora.
 • Uzalishaji hafifu.
 • Ukosefu wa vifaa vya kutendea kazi.
 • Kutosimamia matumizi ya fedha, malighafi na vifaa vingine.

Usimamizi mbaya wa fedha

 • Wadaiwa wengi.
 • Wadai wengi (kulipwa mara moja)
 • Kiwango kidogo cha fedha.
 • Kutotunza hesabu vizuri.

Ukosefu wa mipango

 • Hakuna mipango ya muda mrefu.
 • Hakuna vitega uchumi vipya.
 • Kutokujua jinsi ya kupanga na kutengeneza bidhaa mpya.

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.