Salam toka Jiandae.com!
Kwa niaba ya timu nzima ya Jiandae.com tunapenda kuwashukuru wale wote kwa namna moja au nyingine walitembelea na wanaendelea kutembelea ukurasa huu.

Tunashukuru mpaka leo tunatimiza mwaka mmoja kwa mafanikio kwani tumefurahi kusikia toka kwa watu mbalimbali namna wanavyonufaika na “Maarifa Bila Kikomo” kupitia Ukurasa huu.
Tunamuomba Mungu atupe nguvu zaidi ili tuweze kusonga mbele na kuongeza Maarifa zaidi. Usikose kutembelea hapa kuanzia wikiendi hii patakua na mambo motomoto….
Mwalimu Gunda.
majibu ya mtihani wa ualimu 2013
LikeLike
Hongera sana jiandae.com kwa maswali na majibu naomba majibu ya mtihani wa ualimu mwaka 2013
LikeLike
Pamoja sana na sisi tunashukuru kuendelea kutuelimisha kila siku.
LikeLike