1. Taja vipengele vinne (4) vilivyomo katika Muhtasari wa mafunzo ya Elimu kwa michezo katika shule za Msingi.
2. Eleza kwa kifupi mambo manne (4) ya kuzingatia kabla hujaanza somo lolote la Elimu kwa Michezo.
3. Taja kanuni kuu za kutoa huduma ya kwanza.
4. Fafanua istilahi zifuatazo;
- Mapambo
- Kusanifu hisia
- Kusanifu picha
- Kusana picha
- Sanaa
- Fani
- Vina
- Mizani
- Tamati
5. Eleza jinsi ploti ilivyo katika tamthilia ya mtu aliyekua na VVU na jana amefariki dunia kwa kujinyonga.
6. Nini maana ya istilahi zifuatazo kama zinavyotumika kwa kila kipengele;
- Maudhui katika Tamthilia
- Maudhui katika Shairi
7. Andaa somo la dakika 40 kwa darasa la tano ukieleza namna utakavyofundisha wanafunzi kutumia jukwaa ingawa shule haina jukwaa lililojengwa.
8. Fafanua maana ya maneno yafuatayo kama yanavyotumika katika Ushairi;
- Kituo bahari
- Kituo kimalizio
- Kituo nusu bahari
- Vina bahari
9. Tunga shairi lisilopungua beti sita (6) na uoneshe vituo vifuatavyo (zingatia vina na mizani);
10. Uokajio wa keki hufuata hatua mbalimbali. Fafanua hatua hizo zisizopungua kumu na tatu (13) tu.
11. Fafanua istilahi zifuatazo kwa mifano;
- Uokaji
- Ususi
- Viambaupishi
- Usindikaji
- Mamaledi
12. Eleza mambo manne (4) ya msingi unayopashwa kuzingatia unapoandaa chakula jikoni (kupika).
13. Eleza tofauti iliyopo kati ya Jamu na Mamaledi.
Maxwali yapo poa xana kilichobaki ni kupiga ngeka tu.
LikeLike