Ukipata Nafasi Itumie!

Muda si mrefu Serikali kupitia Wizara ya Elimu na mafunzo ya Ufundi itatangaza majina ya waliopata nafasi za kujiunga na  Masomo ya Ualimu katika vyuo mbalimbali vya Diploma na Cheti.

33Wengi wa vijana, ndugu au jamaa zetu wanachaguliwa kujiunga na mafunzo haya. japo ni watu wazima lakini pamekuwepo na kutojali kwa vijana wetu katika kuweka juhudi katika kutumia nafasi wanazozipata. Tunawashuhudia wengi wanakuja kurudia mitihani waliyofeli kitu ambacho hakina ulazima kufeli wakati ulikuwa na nafasi ya kufanya vizuri wakati upo chuo na unarudia na kufeli kufeli tena.

Wapo wengi wanatamani kupata nafasi hizo kwani wanajua zina umuhimu gani katika maisha yao lakini hawapati. Wewe utakayepata nafasi hivyo weka juhudi katika masomo yako na mshukuru Mungu kwa kupata nafasi hiyo.

Mungu awabariki wote.

Mwalimu Gunda

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.