Jibu Maswali yote katika Sehemu hii
- Eleza kwa kifupi dhana zifuatazo:-
(a) Haiba.
(b) Michezo.
- Eleza taratibu mbili (2) za kuzingatiawakati wa kufundisha michezo.
- Eleza faida nne (4) za za kufanya maandalizi ya somo kabla ya kwenda kufundisha somo la Haiba na Michezo.
- Ni taarifa gani nne (4) za andalio la somo ambazo mwalimu hawezi kuzijaza kabla hajaingia darasani kufundisha.
- Eleza tofauti kati ya michezo ya asili na michezo ya kisasa na kuoa mfano kwa kila moja.
- Eleza kwa ufupi faida nne (4) anazopata mwanafunzi kutokana na kushiriki katika michezo.
- Eleza kwa kifupi dhana zifuatazo. :-
(a) Muhtasari wa somo
(b) Kitabu cha kiada
- Bainisha ngazi katika Nyanja ya maarifa ambapo maswali yafuatayo yametungwa:-
Eleza adhabu anazoweza kutoa msimamizi wa Mchezo wa Mpira wa miguu endapo mchezaji ataushika mpira kwa mikono_______________
Tafsiri usemi huu “michezo ni tiba”.___________________
Nini maoni yako kuhusu kuwepo au kutokuwepo kwa michezo shuleni?___
Orodhesha makundi matatu ya michezo ya riadha.______________
9. Eleza kwa kifupi changamoto mbili (2) za zana za kufundishia na kujifunzia zilizomo katika kundi la zana masikizi-maono.
10. Eleza manufaa mawili ya matokeo ya upimaji kwa mwanafunzi wa shule ya msingi.
SEHEMU B (ALAMA 60)
Jibu Maswali Manne tu
11. Fafanua mbinu tano anazoweza kuzitumia mwalimu kumsaidia mwanafunzi mwenye tabia ya ukimya ndani na nje ya darasa.
12. Tathimini umuhimu wa kutumia zana za kufundishia wakati wa kufundisha somo la Haiba na Michezo.
13. Eleza hatua tano (5) ambazo mwalimu wa somo la Haiba na Michezo anatakiwa kuzizingatia wakati wa kufundisha Stadi za kimichezo.
14. Fafanua matumizi MATANO (5) ya nukuu za somo katika ufundishaji na ujifunzaji.
15. Fafanua aina nne (4) za Tathmini katika somo la Haiba na Michezo.
16. Fafanua hatua tano muhimu (5) ambazo mwalimu anatarajiwa kuzifuata wakati wa kufundisha somo la Haiba na Michezo.
17. Endapo utakuwa Mwalimu Mkuu wa Shule Fulani. Utawashauri walimu katika shule yako watumie njia gani zinazoweza kurekebisha tabia na mienendo ya wanafunzi iliyoharibika?
18. Fafanua matumizi matano (5) ya machapisho ya ziada ya kufundishia na kujifunzia somo la Haiba na Michezo.
Kaka hongera na Asane sana kwa hatua hii njema sana uliyochukua. Jipe moyo, endelea tuu usikate tamaa. Changamoto zisikurudishe nyuma. Tuko pamoja. Mimi ni Mwalimu Joni wa Morogoro.
LikeLike
Tunashukuru sana Mwl John tuko pamoja kaka
LikeLike
Goodmorning Kaka Gunda kwa 2015 ! Hakika Nimefarijika sana kukuona upo imara mwaka mpya 2015…Nakutakia Kila la Kheri na Baraka. Wasomaji wapate kuongezeka sana na ukurasa upate kuchangamka kadiri ya mahitaji ya uandishi wako na wafuasi wote. Mwalimu John Morogoro.
LikeLike
ubarikiwe endelea kuwa na moyo huhuo wa kutoa elimu.Kwa kweli mtihan wako umekidhi vigezo nakupongeza sana.
LikeLike
Nukuu zenu nzuri
LikeLike
Hiyo nzuri keep it up!
LikeLike
Akhsanteneni sana kwa kazi nzuri hivi!!!
LikeLike
Hongera
LikeLike
Umenifaidisha sana ktk somo la haiba na michezo!
LikeLike
NISAIDIENI UFAFANUZI MAJIBU YA HAIBA NA MICHEZO YANANIPA UTATA
LikeLike