SEHEMU A
1. Bainisha sifa nne za rangi ya maji.
2. (a) Orodhesha vifaa vitano vinavyotumika katika usukaji wa ukili kwa njia moja.
(b)Eleza kwa kifupi namna ya kuchana ukindu.
3. Taja mambo manne ya kuzingatia wakati wa kughani shairi.
4. Bainisha mbinu nne za uimbaji.
5. (a) Eleza stadi ya udobi ni nini?
(b)Katika mazingira ya chuo chako ,watu hutumia vifaa gani kwa ajili ya kufulia nguo? Taja vifaa vitano.
6. Ainisha mbinu nne utakazotumia katika ufundishaji wa mada ndogo ya upambaji wa nguo kwa mafundo.
7. Taja kanuni nne za usalama wa mpishi.
8. Eleza kwa ufupi maana ya:
- Kitabu cha mwalimu.
- Kiongozi cha mwalimu.
9. Toa sabababu nne za mwalimu wa stadi za kazi kuwa na nukuu za somo.
10. Nini maana ya Andalio la somo?
Nimezipenda sana
Hasa kwa mtaala wa vyuoni sasa kurudi grade A
LikeLiked by 1 person
Ahsante sana.
LikeLike