JIPIME NA MTIHANI WA STADI ZA KAZI “SEHEMU A” | 2015

cropped-advertise-ii.png

SEHEMU A

1. Bainisha sifa nne za rangi ya maji.

2. (a)Orodhesha vifaa vitano vinavyotumika katika usukaji wa ukili kwa njia moja.

(b)Eleza kwa kifupi namna ya kuchana ukindu.

3. Taja mambo manne ya kuzingatia wakati wa kughani shairi.

4. Bainisha mbinu nne za uimbaji.

5. (a)Eleza stadi ya udobi ni nini?

(b)Katika mazingira ya chuo chako ,watu hutumia vifaa gani kwa ajili ya kufulia nguo? Taja vifaa vitano.

6. Ainisha mbinu nne utakazotumia katika ufundishaji wa mada ndogo ya upambaji wa nguo kwa mafundo.

7. Taja kanuni nne za usalama wa mpishi.

8. Eleza kwa ufupi maana ya:

(a)Kitabu cha mwalimu.(b)Kiongozi cha mwalimu.

9. Toa sabababu nne za mwalimu wa stadi za kazi kuwa na nukuu za somo.

10. Nini maana ya Andalio la somo?

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.