JIPIME NA MTIHANI WA STADI ZA KAZI “SEHEMU B” | 2015

995954_554586914578020_1887432916_n

SEHEMU B

Jibu maswali mawili (2) kutoka katika sehemu hii.

11. Taja aina tano ya mishono unayoweza kushona kwa mikono na eleza matumizi ya kila mshono.

12. Katika ufugaji bora wa kuku wa kienyeji hakuna haja ya kuwatunza kuwa kienyeji kwani wanauwezo mkubwa wa kujitafutia chakula chao ” Jadili usemi huu.

13. Eleza kazi za sehemu za kamera zifuatazo,(i)Kasha (ii) Kiangalizi (iii) Apecha (iv) Swichi ya shata                      (v)Kisogezafilamu (vi)Kirekebishi cha fokasi (vii)Lenzi (viii)Shata   (ix) Kimweko.

14. Kwa nini tunajifunza kuhusu biashara ndogo ndogo, hali ya kuwa sisi ni walimu? Kwa nini tusijifunze kuhusu Maazimio na Maandalio pekee?

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.