JIPIME MWAKA MPYA KWA MTIHANI WA TEHAMA | “SEHEMU B”

10308076_10203592659005249_5115290855933017290_n

                                                           SEHEMU B

Jibu maswali manne (4) kutoka katika sehemu hii.

11. Fafanua vigezo vitano vinavyoweza kutumika kuangalia uwezo wa mwalimu mwanafunzi wakati wa kufundisha somo la Mfano.

12. Jadili umuhimu wa TEHAMA katika maisha ya watu kwenye jamii.

13. Eleza maana ya vituo vya unasihi kisha fafanua faida nne za kuwa na vituo hivyo katika jamii.

14. Jadili faida nne za umuhimu wa vyombo vya habari kwa nchi kama ya Tanzania.

15. Eleza umuhimu wa mwalimu kutumia mbinu tofauti katika ufundishaji wa somo la TEHAMA.

16. Andika barua ya kirafiki kwa kuzingatia mambo muhimu ya uandishi wa barua, ukimweleza rafiki yako jinsi unavyoendelea na masomo yako hapa Chuoni.

17. (a) Eleza maana ya vituo vya Habari na Mawasiliano.

(b) Kwa kutumia mifano eleza faida nne za matumizi ya vituo vya Habari na Mawasiliano.

18. Eleza maana ya “Jedwali la Utaini” kisha bainisha ngazi zilizomo kwenye jedwali la utahini kwa kutoa swali moja kwa kila ngazi

 

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

7 thoughts on “JIPIME MWAKA MPYA KWA MTIHANI WA TEHAMA | “SEHEMU B”

  1. ni programu nzuri nawaunga mkono, naomba niulize swali kuhusu msamiati Rununu kwa maana ya simu za mkononi hata smart phone pia ni rununu?

    Like

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.