JIPIME KATIKA MTIHANI WA KISWAHILI | SEHEMU B

cropped-dsc01563.jpg

SEHEMU B

 11. Orodhesha mambo muhimu yanayopaswa kuonekana katika barua rasmi kisha toa mfano wa kuandika barua rasmi fupi ya kuomba kazi ya ukarani kwa mkuu wa wilaya. Tumia anuani yoyote.

12. Somo la Fasihi halifundishwi katika shule za msingi. Kanusha au kubali hoja hii kwa hoja madhubuti.

13. (a) Taja aina tano za kauli za utendaji na kwa kila aina ya kauli tunga sentensi moja.

(b) Bainisha aina ya maneno yanayojenga senteni zifuatazo:

(i) kijana mrefu alifungua dirisha

(ii) mwanafunzi hodari amefauru mtihaani wake vizuri

(iii) Baba anasoma kitabu na mama anaandika barua

(iv) Mwalimu mwema amemsaidia mwanafunzi wake

(v) Wanafunzi wawili wanacheza mpira mkubwa na mwalimu wao anaandika barua fupi

14. Jadili mambo ambayo husababisha mtoto ashindwe kusoma.

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

One thought on “JIPIME KATIKA MTIHANI WA KISWAHILI | SEHEMU B

  1. Mwalimu Gunda Nafurahi sana kupata taarifa za Tovotu yako mara kwa mara. Naona kuna changamoto kiasi. Waalimu hawajitokezi kwa wingi katika kurasa. Nini kifanyike kuwashirikisha walimu wngi zaidi katika kurasa? Walimu wanafunzi ni HAZINA KUU kama inavyoonekana. Lakini kwa walio kazini sio tuu KURASA, Bali hapa tunapata MAFUNZO KAZINI, KUFAHAMIANA, KUELIMISHANA, KUKOSOANA, KUPEANA TAARIFA MPYA KWA LUGHA YA KIALIMU JUU YA FANI YETU TULIYOIPENDA Toka moyoni. Kila la Kheri. Mwalimu Joni wa Morogoro, Tanzania.

    Like

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.