Katika Maandalizi ya Kwenda BTP Mwezi huu Tutachanganua Vigezo Vilivyopo Katika Fomu ya Kutahini Mazoezi ya Kufundishaji

1264117_580248285345216_1742155993_o

Hivyo tutaangalia vipengele kumi na nne, ili utakapo kua BTP uweze kujiangalia wewe mwenyewe katika ufanyaji wako wa kazi.

Katika Vipengele hivi tutachambua nini ufanye kwa kila kipengele hapa chini;

 1. Maazimio ya kazi
 2. Maandalio ya somo
 3. Hatua za Somo katika Ufundishaji
 4. Ujuzi na Maarifa ya Somo
 5. Njia za kufundishia
 6. Mbinu za kufundishia
 7. Vifaa vya kufundishia
 8. Matumizi ya vifaa vya kufundishia
 9. Namna ya kujieleza
 10. Matumizi ya ubao
 11. Kazi kwa wanafunzi
 12. Nidhamu ya darasa
 13. Haiba ya Mwalimu
 14. Maoni ya mtahiniwa kuhusu somo

Hivyo ni mategemeo yetu utaongeza bidii na kuleta ufanisi katika ufundishaji wako wa jumla katika mazoezi yako ya Ufundishaji.

 

Mwalimu Gunda

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.