KUTOKA JESHI LA POLICE: USALAMA WA MAISHA YAKO.

cropped-484796_448535651879254_1939829826_n.jpg

  1. Usinunue simu za Android kwa mtu usiyemjua.

Hiyo ni hatari kwani hujui huyo jamaa kaitoa wapi, mwisho wa siku unapewa kesi
ya wizi au mauaji. Inawezekana simu hiyo iliibiwa kwa mtu aliyeuawa.

  1. Usimpe mtu usiyemjua simu yako apige sehemu yoyote.
  2. Unapoiona line njiani ipo chini, usitake kuiokota na kuiweka simuni mwako ujue ina sh ngapi ili uchukue salio. Simu inapoibiwa au mwenye simu kuuawa, line hutupwa, unapoiweka simuni mwako, simu yako inahusishwa na tukio hilo.

  3. Unapoweka salio, hakikisha karatasi ya vocha unaichana. Unapoitupa, watu
    wanaweza kufanya mauaji, wakachukua karatasi ya vocha ile na kuweka sehemu ya tukio au pale ulipoitupa kukatokea tukio na wewe kuhusishwa.

  4. Usikubali kumsajilia mtu line yake kwa jina lako, hata kama baba yako, usikubali.
    Kumbuka namba yako imesajiliwa, moja ya matukio hayo yakitokea na namba yako kuonekana, moja kwa moja unakuwa mtuhumiwa namba moja. Wengi wamepewa kesi za mauaji, wizi bila kujua.

Polisi wapo kazini, wanapoona vidhibiti wanakuchukua kwani hawatojua kama umehusika au la.

Kuweni makini ili usije kuingia matatizoni, simu yako, fedha zako, ukifanya kisicho sahihi kama uzembe, utaishia pabaya.

SHARE HII STATUS UMPE ONYO NA MWENZAKO.

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.