SERA MPYA YA ELIMU 2014 | 1+6+4+2+3+

10922437_1149730011708082_6686417633011851544_n
Rais Kikwete amezindua Sera ya mpya ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 ambapo kwa mujibu wa sera hiyo, pamoja na mabadiliko mengi miaka ya kupata elimu ya awali imepunguzwa kutoka miaka miwili hadi mwaka mmoja, na kupunguza umri wa kuanza darasa la kwanza kuwa miaka mitano badala ya miaka saba pia muundo wa elimu utakuwa ni 1+6+4+2+3+ badala ya  2+7+4+2+3+ ili mhitimu amalize mzunguko wa masomo kwa muda mfupi na mikondo ya ufundi pia itajumuishwa kwenye elimu ya msingi na sekondari.

Kama Mwalimu nini maoni yako kuhusiana na mabadiliko hayo?

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

One thought on “SERA MPYA YA ELIMU 2014 | 1+6+4+2+3+

  1. Malengo ya sera ni mazuri, mashaka yangu ni kwamba mafanikio ya sera hii yatakuwa hafifu kutokana na miundombinu iliyopo kutokidhi haja. Maoni yangu ni kwamba kuwepo na uboreshaji miundombinu na rasilimaliwatu kwanza na kisha utekelezaji wa sera uendelee.

    Like

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.