Zifahamu Shule 10 Bora za mwanzo na 10 Zilizofanya Vibaya Mtihani wa “Form Four 2014”

3

Jumla ya Watahiniwa 196,805 sawa na 68.33% ya watahiniwa wote waliofanya mtihani kidato cha IV mwaka 2014 wamefaulu ikiwa ni ongezeko la 10.08% kulinganisha na mwaka 2013 ambapo wanafunzi 235227 sawa na 58.25 walifualu.

Katika matokeo hayo zipo shule zilizofanya vizuri. Shule bora 10 za mwanzo na  zile 10 za mwisho ambazo hazijafanya vizuri katika mtihani huo wa kidato cha nne Kitaifa;

Akizitaja shule kumi bora kwa ufaulu, Dkt Msonde amesema shule hizo ni;

 1. Kaizirege mkoa wa Kagera
 2. Mwanza Alliance mkoa wa Mwanza
 3. Marian Boys mkoa wa Pwani
 4. St. Francis Girls mkoa wa Mbeya
 5. Abbey mkoa wa Mtwara
 6. Feza Girls mkoa wa Dar es salaam
 7. Canossa Mkoa wa Dar es Salaam
 8. Bethel sabs Girls mkoa wa Iringa
 9. Marian Girls mkoa wa Pwani
 10. Feza Boys mkoa wa Dar es laam.

Shule 10 za mwisho ni;

 1. Manolo mkoa wa Tanga
 2. Chokocho mkoa wa Pemba
 3. Kwalugulu mkoa wa Tanga
 4. Relini mkoa wa Dar es salaam
 5. Mashindei mkoa wa Tanga
 6. Njelekela Islamic Seminary mkoa wa Kigoma
 7. Vudee mkoa wa Kilimanjaro
 8. Mnazi mkoa wa Tanga
 9. Ruhembe mkoa wa Morogoro
 10. Magoma mkoa wa Tanga.

2

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

One thought on “Zifahamu Shule 10 Bora za mwanzo na 10 Zilizofanya Vibaya Mtihani wa “Form Four 2014”

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.