Huyu Ndie Chief Mpya wa Wahehe Ameapishwa Akiwa Darasa la Saba mbele ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete!

1797452_1152353931445690_7515533660709359685_n

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Chifu mpya wa Wahehe, Chifu Adam Abdu. Rais ameshuhudia kiapo cha chifu mpya wa kabila hilo chifu Adam wa pili aliyetawazwa katika kiti hicho cha uchifu baada ya kifo cha baba yake Abdul Adam Sapi Mkwawa.

Chifu Adam wa pili ni mwanafunzi wa darasa la saba katika shule ya msingi Highland iliyopo manispaa ya Iringa na kwa kuwa hajafikisha umri wa miaka 20 kazi ya uchifu itashikiliwa na baba yake mdogo Hassan Mkwawa.

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.