Jipime katika Somo la Mitaala na Ufundishaji | Sehemu A – 2015

ualimuIli utambue sehemu ipi uko vizuri na sehemu ipi unahitaji kusoma zaidi katika somo la Mitaala na Ufundishaji, hebu jaribu kufanya Maswali yafuatayo;

 1. Mitaala ni nini?
 2. Taja mambo matano (5) yanayounda Mtaala.
 3. Eleza kwa kifupi matatizo manne (4) ambayo mwalimu anaweza kuyapata iwapo atakabidhiwa somo la kufundisha bila kupewa muhtasari wa somo hilo.
 4. Bainisha makundi ya zana za kufundishia na mifano kwa kila kundi la zana hizo.
 5. Tofautisha kati ya “hojaji” na “dodoso” katika tathmini ya mitaala.
 6. Eleza tofauti iliyopo katika mtaala rasmi na mtaala usio rasmi.
 7. Fafanua tofauti nne (4) zilizopo kati ya njia shirikishi za kufundishia na njia zisizo shirikishi.
 8. Eleza tofauti kati ya tathmini endelevu na tathmini tamati.
 9. Bainisha majukumu manne (4) ya mwalimu katika ” mtazamo wa mwanafunzi kama msingi wa mtaala“.
 10. Kwa kutumia kielelezo, fafanua taratibu nzuri za kugawa muda katika hatua za ufundishaji.

Zingatia kua maswali haya unaweza ukayakuta katika mtihani wa Mitaala na Ufundishaji Sehemu A. Tunakutakia maandalizi mema ya mitihani na kama unatatizo la swali au ushauri juu ya somo lolote basi wasiliana nasi kwa namba zetu za simu zilizopo katika ukurasa huu au tutumie ujumbe wa maandishi katika namba (0787836563)

Mwalimu Gunda

4

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

2 thoughts on “Jipime katika Somo la Mitaala na Ufundishaji | Sehemu A – 2015

 1. Nashukuru kwa maswali yenu,no mazuri sana.Naomba mnitumie notes za ufundishaji na mitaala ngazi ya stashahada ya ualimu shule za msingi.Natanguliza shukrani.

  Like

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.