Haiba ya Mwalimu | NECTA 2011

2Eleza kwa kifupi changamoto nne zinazoifanya kazi ya ualimu hapa Tanzania ionekane ni kazi ngumu na isiyo na mvuto (NECTA 2011).

  1. Mazingira magumu na duni ya kufanyia kazi na idadi kubwa ya wanafunzi darasani;
  2. Maslahi madogo ya mishahara;
  3. baadhi ya watu kujiunga na vyuo vya ualimu bila ya kuwa na sifa hivyo kuongeza mzigo kwa walimu wenzao kazini;
  4. walimu wengi huacha kazi na kujiunga na kazi nyingine hivyo kuwakatisha tama walimu wengine;
  5. ukosefu wa vifaa vya kufundishia na uhaba wa samani madarasani;
  6. ukosefu wa mafunzo ya mara kwa mara kazini.

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.