Tume ya Walimu Tanzania (TSD) | NECTA 2012

944185_552128748171285_1507787981_nOrodhesha adhabu nne zinazoweza kutolewa na Tume ya Walimu Tanzania kwa mwalimu anayekiuka maadili ya kazi ya ualimu (NECTA 2012)

  1. Kufukuzwa kazi na kusimamisha uanachama wake katika utumishi,
  2. Kupunguzwa kwa mshahara wake lakini sio chini ya kiwango cha kwanza katika ngazi aliyoajiriwa nayo,
  3. Kuteremshwa daraja,
  4. Kusimamisha au kuchelewesha nyongeza ya mshahara,
  5. Onyo au karipio kali;

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

One thought on “Tume ya Walimu Tanzania (TSD) | NECTA 2012

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.