Neno Gani Jipya Umelijua Leo katika Lugha hizi mbili Kongwe?

11043006_1079918792024082_8482463298469443072_n

KIINGEREZA———–KISWAHILI
Device——————–Kitumi

Photocopier————-Kinukuzi…

Duplicating Machine –Kidurufu

Resistor——————kikinzani

Power Saw————–Msumeno oto

Sensor——————-Kisimbuzi

Lap Top—————–Kipakatalishi

ICU———————-Kisadaruki

Microwave————–Tanuri ya miyale

Memory Card———-Kadi sakima

SIM card—————Kadiwia/mkamimo

Scratch card———–Kadi hela

Business card———-Kadikazi

Identity card———-Kitambulisho

ATM———- ———Kiotomotela

Nutrients —– ——–Virutubisho

Starch———- ——-Wanga

Stigma——— ——–Ntwe

Nectar——————Mbochi

Humus—————–Mboni

Germ cell————–Celizazi

Femur—————–Fupaja

Green house———-Kivungulio

Esophagus————Umio

Sunflower————-Alizeti

Weevil—————–Fukusi/dumuzi

Distillation———–Ukenekaji

Evaporation———-Mvukizo

Dissolve ————-Uyeyushaji

Stagnant————-Tuama

Synthesis————Uoanishaji

Monitor————-Muwazi

Processor———–Kichakato

Computer Virus—Mtaliga

Floppy Disk——–Diski tepetevu

Mouse————–Kipanya/kisakura

Slot——————Upenyu

Flash Disk———-Diski mweko

Scanner————-Mdaki

Keyboard———–Kicharazio

Force of Gravity—Kani ya mvutano

Certificate———Astashahada

Diploma———–Stashahada

Degree————Shahada

Masters———–Uzamili

Phd—————Uzamivu

Sausage———-Soseji

Kebab————Mshakiki

Crisps————Kaukau

Chips————-Vibanzi

Juice————-Sharubati

Password——–Nywila

Zebra Crossing–Kivuko milia

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

2 thoughts on “Neno Gani Jipya Umelijua Leo katika Lugha hizi mbili Kongwe?

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.