Jipime na Mtihani wa Kiswahili | Sehemu A

2

 1. Taja na fafanua kwa kifupi stadi mbili za lugha za muhimu kwa mtoto anayeanza kujifunzia lugha.
 2. Bainisha misingi minne kati ya misingi ya hati nzuri.

 3. Toa maelezo kwa kifupi kuhusiana na istilahi zifuatazo:

 • Tathilitha
 • Takhmisa
 • Tarbia
 • Tathnia
 1. (a) Utungaji ni nini?

(b) Taja aina kuu mbili za utungaji.

 1. Tunga sentensi nne kuonesha maana tofauti za neno ‘paa’.

 2. Huku ukitumia mifano, toa tofauti kati ya kauli ya kutendea na kauli ya kutendewa.

 3. Toa maelezo mafupi kuhusu dhana zifuatazo:

 • Fonimu
 • Konsonanti
 • Sarufi
 • Semantiki
 1. Kwa kutumia neno ‘vizuri’, tunga sentensi mbili ukionesha kivumishi cha sifa na kama kielezi.

 2. Taja na kufafanua matawi manne ya sarufi.

 3. Toa maana ya istilahi zifuatazo:

 • Azimio la kazi
 • Kiongozi cha mwalimu
 • Shajala ya somo la Kiswahili
 • Nukuu za somo

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.