Hatua za Kufundisha Somo la Haiba na Michezo

DSC06283

Hatua tano muhimu za somo ambazo mwalimu anatarajiwa kuzifuata wakati wa kufundisha somo la Haiba na Michezo.

Utangulizi

 

  • Ni hatua ya awali ambayo kila mwalimu hutambua ujuzi wa awali wa wanafunzi na kuunganisha na ujuzi mpya. Pia ni hatua ambayo mwalimu humwandaa mwanafunzi awe tayari kujifunza maarifa mapya.

Ujuzi mpya

 

  • Ni hatua ambayo mwalimu humwandalia mwanafunzi mazingira ya ujenzi wa maarifa mapya kwa kutumia mbinu anuai za kufundishia/kujifunzia. Mbinu bora ni zile zinazomwezesha mwanafunzi kubuni na kutengeneza vitu au vifaa anuai au kutafuta na kufikia jibu sahihi yeye mwenyewe, kutenda na kufanya maamuzi.

Kuimarisha maarifa

 

  • mwalimu hukazia maarifa kwa :- (a) kutoa zoezi kuhusu mada iliyofundishwa (b) Wanafunzi kuuliza maswali yanayoweza kujibiwa na wanafunzi wenzao au mwalimu (c) Kuwataka wanafunzi watende vitendo ili kukazia maarifa mapya waliyojifunza kwa kufanya mazoezi yaliyomo kwenye vitabu au kuandika ufupisho.

Kutafakari/Tafakari

 

  • Ni hatua ambapo mwalimu huonyesha uhusiano kati ya ujuzi, maudhui na muktadha. Pia mwalimu huulza maswali kuhusu mazingira ya kujifunzia, njia zilizotumika kuwasilisha somo, lengo mahsusi na vitendo vya mwanafunzi katika ujifunzaji.

Hitimisho

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

2 thoughts on “Hatua za Kufundisha Somo la Haiba na Michezo

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.