MAKUZI YA MTOTO KIMWILI

dsc_0640

—Haya ni makuzi yaliyo wazi katika maumbile ya binadamu yanayohusisha ukuaji wa maungo na uwezo wa kufanya kazi wa maungo hayo.

—Makuzi haya yanaanza mara moja baada ya kutunga mimba.

—Athari za ukuaji na makuzi hafifu ya kimwili:-

 1. Ubongo wa mtoto kudumaa na kusababisha juhudi zake za kujifunza zisifanikiwe vizuri. Mf. Wanayojifunza wanafunzi wa umri wake hayawezi kwani kadumaa kiakili.
 2. Mtoto akipewa makuzi mabaya huwa na tabia zisizochochea ujifunzaji, hivyo kumfanya asipende kujifunza na kufanya kazi kwa bidii.

—Urithi na mazingira huathiri makuzi ya mtoto kimwili.

—Mambo ya kuzingatia katika kumwezesha mtoto kukua ipasavyo kimwili:-

 • Kumtunza mama mjamzito na kumpatia huduma zote.
 • Kusisitiza mbegu za kiume n za kike zenye vinasaba zisizo na kasoro ndizo zirutubishwe.
 • Mama mjamzito kuhudhuria kliniki mara kwa mara ili kujua afya yake na ya mtoto.
 • Kumpa mtoto lishe bora anapozaliwa.
 • Kumpa mtoto kushiriki katika michezo.
 • Kumpa mtoto vitu vingi vya kuchezea katika chumba chake au mazingira yake.
 • Kuwapa tuzo na kuwatia moyo wanapofanya vizuri.

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

3 thoughts on “MAKUZI YA MTOTO KIMWILI

 1. wapwendwa kwanza kabisa nichukue nafasi hii sasa kuwapongeza kwa kazi nzuri mnayoifanya, kazi ya kuelimisha jamii.
  Katika hilo ninaomba kuelimishwa juu ya kumuandaa mtoto kuwa na malezi na makuzi mazuri ktk jamii kwa ujumla. Asante.

  Liked by 1 person

 2. Nimeshukuru kujuwa makuzi ya motto kwa kiasi kibwa sana, ila ningependa kumjua makuzi ya motto katika nyaja mbali mbali za kujifunza kwake,ahsante.t

  Like

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.